Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Wednesday, November 30, 2016

  HAYE ATAKA KUZIPIGA KAVU KAVU NA BELLEW

  David Haye (kushoto) akimrushia ngumi mpinzani wake, Tony Bellew baada ya kushindwa kuvumilia 'maneno ya shombo' aliyokuwa anatupiwa wakati wa kutambulisha pambano lao lisilo la ubingwa uzito wa Heavy leo litakalofanyika Machi 4 mwakani ukumbi wa O2 Arena, London. Ngumi hiyo haikumpata Bellew na mara moja wawili hao walitenganishwa na kubaki kupigana kwa maneno hadi wanaondoka eneo la tukio PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: HAYE ATAKA KUZIPIGA KAVU KAVU NA BELLEW Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top