• HABARI MPYA

    Thursday, November 24, 2016

    MAN CITY YACHOMOA UJERUMANI, SARE 2-2 LIGI YA MABINGWA

    Kiungo wa Hispania  David Silva (kulia) akiushuhudia mpira alioupiga ukielekea nyavuni dakika ya 45 na usher kuipatia Manchester City bao la kusawazisha katika sare ya 1-1 na wenyeji, Borussia Monchengladbach Uwanja wa  Borussia-Park mjini Monchengladbach katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao la wenyeji lilifungwa na Raffael dakika ya 23 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN CITY YACHOMOA UJERUMANI, SARE 2-2 LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top