• HABARI MPYA

  Sunday, November 06, 2016

  LIVERPOOL YAIBAMIZA 6-1 WATFORD

  Wachezaji wa Liverpool wakishangilia ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Watford leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield. Mabao ya Liverpool yamefungwa na Sadio Mane dakika ya 27 na 60, Philippe Coutinho dakika ya 30, Emre Can dakika ya 43, Roberto Firmino dakika ya 57 na Georginio Wijnaldum dakika ya 91, wakati la Watford lilifungwa na Daryl Janmaat dakika ya 75 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAIBAMIZA 6-1 WATFORD Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top