• HABARI MPYA

  Sunday, November 06, 2016

  ARSENAL YAAMBULIA SARE KWA SPURS EMIRATES

  Kiungo wa Arsenal, Mesut Ozil akimtoka Mousa Dembele wa Tottenham Hotspur (kushoto) katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates, London. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1 Harry Kane akiisawazishia Spurs kwa penalti dakika ya 51 baada ya after Laurent Koscielny kumchezea rafu Mousa Dembele kufuatia Kevin Wimmer kuanza kujifunga dakika ya 42 kuipatia Arsenal bao la kuongoza PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAAMBULIA SARE KWA SPURS EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top