• HABARI MPYA

    Thursday, October 20, 2016

    TOTO AFRICANS NA YANGA KATIKA PICHA JANA CCM KIRUMBA

    Beki wa Yanga, Hassan Ramadhani 'Kessy' akipitisha mpura juu ya beki wa Toto Africans, Salum Chukwu jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza 
    Kiungo wa Yanga, Deus Kaseke akimtoka Salum Chukwu wa Toto
    Mshambuliaji Mzambia wa Yanga, Obrey Chirwa akimtoka beki wa Toto, Jamal Soud
    Winga wa Yanga, Simon Msuva akimtoka Mohamed Soud wa Toto
    Simon Msuva akimtoka Yussuf Amos wa Toto Africans jana 
    Beki wa Yanga, Oscar Joshua (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita Jamal Soud wa Toto
    Kikosi cha Yanga kilichoibuka na ushindi dhidi ya Toto Africans jana
    Kikosi cha Toto Africans kilichoendelea kufanya vibaya katika Ligi Kuu jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TOTO AFRICANS NA YANGA KATIKA PICHA JANA CCM KIRUMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top