• HABARI MPYA

  Wednesday, October 05, 2016

  SERENGETI BOYS WALIVYOWASILI NA MAJONZI TELE HADI HURUMA!

  Wachezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys wakiwa wenye majonzi baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam usiku wa Jumanne wakitokea Brazzaville, Kongo ambako Jumapili walifungwa 1-0 na wenyeji katika mchezo wa marudiano hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania tiketi ya fainali za U-17 Afrika mwakani Madagascar. Serengeti imetolewa kwa mabao ya ugenini baada ya kushinda 3-2 katika mchezo wa kwanza Dar es Salaam
  Wachezaji wa Serengeti Boys wakiwa wenye majonzi Uwanja wa Ndege baada ya kuwasili wakitokea Kongo 
  Wachezaji wa Serengeti Boys wakiwa wenye majonzi Uwanja wa Ndege baada ya kuwasili wakitokea Kongo  
  Mshauri wa Ufundi wa Serengeti Boys, Mdenmark kim Poulsen (kulia akiwa na Ofisa Itifaki wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Matola 
  Wachezaji wa Serengeti Boys wakielekea kwenye basi baada ya kuwasili wakitokea Kongo 
  Wachezaji wa Serengeti Boys wakiwa na kocha wa makipa Muharami Mohammed (katikati)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERENGETI BOYS WALIVYOWASILI NA MAJONZI TELE HADI HURUMA! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top