Mshambuliaji Jamie Vardy (kulia) akishangilia na Riyad Mahrez (kushoto) baada ya wote kuifungia Leicester City katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Chelsea mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa King Power. Bao la Chelsea lilifungwa na Loic Remy na sasa Leicester City inarejea kileleni mwa Ligi Kuu ikifikisha pointi 35 baada ya kucheza mechi 16, Arsenal yenye pointi 33 za mechi 16 pia, inateremka nafasi ya pili, wakati Manchester City ya tatu kwa pointi zake 32 na Man United inabaki nafasi ya nne kwa pointi zake 29, wote wamecheza mechi 16 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Anioma monarchs, stakeholders endorse Nwoko for second term, backs South
East alignment
-
From Godwin Tsa, Abuja Izu Anioma, the umbrella body of all Anioma people
in Delta North, has endorsed Senator Ned Nwoko for a second term, citing
his le...
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment