Nyota wa Manchester United, Memphis Depay akiruka kichwa bila mafanikio kumuokoa kipa wake David de Gea, lakini akashindwa kumzuia Glen Johnson kuifungia Stoke City katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Mashetani hao Wekundu, bao lingine likifungwa na Marko Arnautovic Uwanja wa Britannia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Alan Shearer predicts Eddie Howe WON'T be Newcastle's manager next season -
and accuses 'terrible' Toon players of 'chucking him under the bus'
-
The Magpies find themselves 14th in the Premier League table a season after
they qualified for the Champions League. They are still in contention to
qualif...
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment