Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa kuendesha droo ya kwanza ya promosheni ya Airtel Mkawnjika, ambayo washindi 16 kutoka katika mikoa mbalimbali walipatikana. Wengine ni Msimamizi wa bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Abdallah Hemed (kushoto) na Meneja Masoko wa Airtel, Anneth Muga (kulia)
DC SHINYANGA AKUTANA NA WANANCHI KIJIJI CHA NYAMBUI KUTATUA MGOGORO UJENZI WA MNADA TINDE
-
*Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amekutana na wakazi wa kijiji
cha Nyambui kilichopo katika kata ya Tinde halmashauri ya wilaya ya
Shinyanga ...
22 minutes ago
0 comments:
Post a Comment