• HABARI MPYA

  Monday, December 21, 2015

  MBUNGE AMPA TUZO TSHABALALA WA SIMBA SC

  Mbunge wa jimbo Busega, Simiyu, Raphael Chegeni (kushoto) akimkabidhi beki wa kushoto wa Simba SC, Mohamed Hussein 'Tshabalala' (kulia) tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi Oktoba wa klabu hiyo juzi mjini Mwanza baada ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Toto Africans Uwanja wa CCM Kirumba. Tuzo hiyo huambatana na kitita cha Sh. 500,000.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBUNGE AMPA TUZO TSHABALALA WA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top