![]() |
| Kiungo wa Yanga SC, Thabani Kamusoko akitafuta maarifa ya kuwapita wachezaji wa Stand United, Amri Kiemba (kulia) na Jacob Masawe (katikati) |
![]() |
| Donald Ngoma wa Yanga SC akimtoka Nassour Masoud 'Chollo' wa Stand United |
![]() |
| Beki wa Yanga SC, Juma Abdul (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Stand United Abuu Ubwa (kulia) |
![]() |
| Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akitafuta maarifa ya kumpita Nassor Masoud 'Chollo' |
![]() |
| Kipa wa Stand United, Frank Muwonge akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga SC, Amissi Tambwe |








.png)
0 comments:
Post a Comment