Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Monday, December 21, 2015

  AZAM FC ILIVYOVUNA POINTI TATU UWANJA WA MAJIMAJI JANA

  Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbangu (kushoto) akiwania mpira dhidi ya mchezaji wa Majimaji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Majimaji mjini Songea. Azam FC ilishinda 2-1
  Wachezaji wa Azam FC baada ya dua kabla ya mchezo wa jana
  Sekeseke kwenye lango Majimaji, wachezaji wakisubiri mpira wa kona 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: AZAM FC ILIVYOVUNA POINTI TATU UWANJA WA MAJIMAJI JANA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top