Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Friday, December 25, 2015

  HAJJI MANARA KATIKA RANGE NYEKUNDU, NI MAJIBU KWA JERRY MURO?

  Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba SC , Hajji Sunday Manara akiwa mbele ya gari aina ya Range Rover Sport nyekundu katika eneo la kuegeshea magari yanayouzwa. Haikujulikana mara moja kama mtoto huyo wa kiungo wa zamani wa Yanga SC, Sunday Manara 'Kompyuta' alikuwa anataka kununua gari hilo, au amepiga picha tu. Hivi karibuni, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga SC, Jerry Muro alimtambia Hajji kwamba yeye anaendesha gari zuri ambalo Ofisa huyo wa Simba SC hana. Tuseme Hajji anataka kumjibu Jerry Muro?  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: HAJJI MANARA KATIKA RANGE NYEKUNDU, NI MAJIBU KWA JERRY MURO? Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top