• HABARI MPYA

  Monday, December 21, 2015

  NANI KUMRITHI VAN GAAL MAN UNITED HAPA, MOURINHO, GIGGS AU GUARDIOLA?

  Kocha Mholanzi, Louis van Gaal amekalia kuti kavu baada ya Manchester United kufungwa mabao 2-1 na Norwich Jumamosi. Tangu kipigo hicho vyombo vya habari England vimeanza kumtabiria safari huku, vikitabiri kati ya Ryan Giggs (kulia), Pep Guardiola (katikati) au Jose Mourinho (kushoto) mmoja atachukua nafasi yake.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NANI KUMRITHI VAN GAAL MAN UNITED HAPA, MOURINHO, GIGGS AU GUARDIOLA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top