• HABARI MPYA

    Thursday, December 17, 2015

    HAYA NDIYO MAJIBU YA NIYONZIMA BAADA YA KUSIMAMISHWA YANGA SC!

    Kiungo Haruna Niyonzima ameposti picha hii akiwa anatabasamu mbele ya bendera ya Rwanda katika ukurasa wake wa Facebook, saa chache tu baada ya klabu yake kumsimamisha kwa utovu wa nidhamu, ikimtuhumu kuchelewa kurejea klabuni baada ya ruhusa ya kwenda kuichezea timu yake ya taifa, Rwanda. Je, Niyonzima anawapa ujumbe gani Yanga hapa? 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HAYA NDIYO MAJIBU YA NIYONZIMA BAADA YA KUSIMAMISHWA YANGA SC! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top