• HABARI MPYA

  Tuesday, December 15, 2015

  UNADHANI STEWART HALL NA KERR WALIKUWA WANAZUNGUMZA NINI HAPA?

  Makocha Waingereza, Stewart Hall wa Azam FC (kulia) na Dylan Kerr wa Simba SC (kushoto) wakizungumza Jumamosi kabla ya mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu zao iliyomalizika kwa sare ya 2-2 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
  Wanaachana kwa furaha baada ya mazungumzo yao mafupi kabla ya mechi. Je, yalihusu nini?

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UNADHANI STEWART HALL NA KERR WALIKUWA WANAZUNGUMZA NINI HAPA? Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top