Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Tuesday, December 22, 2015

  KIKOSI CHA SIMBA SC 'KILICHONYOROSHWA' NA VIJANA WA MATOLA GEITA JANA

  Kikosi cha Simba SC kilichofungwa 3-1 na Geita Gold Mine inayofundishwa na kocha Suleiman Matola, katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa shule ya Wajja Spring, Geita. Kutoka kulia kocha Dylan Kerr, Awadh Juma, Joseph Kimwaga, Paul Kiongera, Brian Majwega, Said Issa, Hajji Ugando, Daniel Lyanga, Novat Lufunga, Emery Nimubona na Mohammed Fakhi. Aliyechuchumaa mbele ni kipa Peter Manyika 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: KIKOSI CHA SIMBA SC 'KILICHONYOROSHWA' NA VIJANA WA MATOLA GEITA JANA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top