Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Wednesday, December 23, 2015

  OMAR CHOGO ENZI ZAKE ALIKUWA MTU WA 'BATA' PIA

  Beki aliyewika katika kikosi cha Simba SC kilichofanya vizuri zaidi miaka ya 1970 kikifika Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika mwaka 1974, kikichukua Kombe la Afrika Mashariki na Kati (sasa Kagame) 1974 na kuifunga Yanga SC 6-0 mwaka 1978, Omar Chogo (kulia, sasa marehemu) akifurahia na mkewe enzi za uhai wake baada ya kazi. Chogo aliwika kwa staili yake maarufu ya 'Chogo Chemba' ambayo ilikuwa tishio kwa washambuliaji enzi hizo. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: OMAR CHOGO ENZI ZAKE ALIKUWA MTU WA 'BATA' PIA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top