Nahodha Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur mabao mawili dakika ya nne na 54 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Tottenham Hotspur mjini London. Mabao mengine ya timu ya kocha Mreno, Jose Mourinho yamefungwa na Lucas Moura dakika ya tisa, Son Heung-Min dakika ya 32 na Moussa Sissoko dakika ya 74 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
2020/21 Ghana Premier League: Highlights- Ebusua Dwarfs 0-1 Asante Kotoko
-
Christopher Nettey's first goal of the season helped Asante Kotoko
win their Ghana Premier League matchday 7 outstanding game against Ebusua
Dwarfs 1...
14 minutes ago
0 comments:
Post a Comment