Dominic Calvert-Lewin akishangilia baada ya kuifungia Everton mabao mawili dakika ya 49 na 84 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Goodison Park. Bao lingine la Everton limefungwa na Richarlison dakika ya tano, wakati la Chelsea limefungwa na Mateo Kovacic dakika ya 52 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Man Utd face up to 'massive' loss of injured Fernandes
-
Manchester United's injury problems worsened as captain and talisman Bruno
Fernandes was replaced in a 2-1 defeat by Aston Villa.
25 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment