Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao matatu dakika za 34, 50 na 54 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Dinamo Zagreb kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Maksimir, Zagreb. Bao la nne la Man City lilifungwa na Phil Foden dakika ya 84, wakati la Dinamo Zagreb lilifungwa na Daniel Olmo dakika ya 10. Manchester City imeongoza kundi hilo kwa pointi zake 14, ikifuatiwa na Atalanta iliyomaliza na pointi saba baada ya kuwafunga wenyeji Shakhtar Donetsk 3-0 jana na zote zinafuzu hatua ya 16 Bora PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sri Lanka v England: Tourists wobble chasing 74 after Jack Leach takes 5-122
-
England need 36 runs on the final day to win the first Test against Sri
Lanka despite losing three wickets in a chaotic end to the fourth day in
Galle.
30 minutes ago
0 comments:
Post a Comment