• HABARI MPYA

  Saturday, December 01, 2018

  MAN CITY YAITANDIKA BOURNEMOUTH 3-1 LIGI KUU ENGLAND

  Raheem Sterling akipongezwa na mchezaji mwenzake, Fernandinho (kushoto) baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 57 ambalo linakuwa la nane kwake msimu huu katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Bernardo Silva dakika ya 16 na Ilkay Gundogan dakika ya 79 wakati la Bournemouth limefungwa na Callum Wilson dakika ya 44  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAITANDIKA BOURNEMOUTH 3-1 LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top