• HABARI MPYA

  Sunday, December 02, 2018

  WILDER AMKALISHA MARA MBILI TYSON FURY LAKINI NGOMA DROO

  Bondia Mmarekani, Deontay Wilder 'Bronze Bomber' akiondoka kurejea kwenye kona yake baada ya kumuangusha mpinzani wake, Tyson Fury 'Gipsy King' katika raundi ya 12 Alfajiri ya leo ukumbi wa Staples Center mjini Los Angeles, Marekani. Hata hivyo, Muingereza Fury aliyecheza vizuri, aliinuka na kumalizia pambano na matokeo yakawa droo, Wilder aliyemuangusha mpinzani wake raundi ya tisa pia anabaki na mkanda wake wa uzito wa juu wa WBC 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WILDER AMKALISHA MARA MBILI TYSON FURY LAKINI NGOMA DROO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top