• HABARI MPYA

  Friday, December 14, 2018

  LACAZETTE AIFUNGIA BAO PEKEE ARSENAL YAICHAPA QARABAG

  Kiungo Mfaransa, Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao pekee dakika ya 16 tu katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Qarabaq kwenye mchezo wa Kundi E Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates mjini London. Kwa ushindi huo, Arsenal inamaliza na pointi 16 mbele ya Sporting iliyomaliza na pointi 13 wakizipiku Vorskla na Qarabag zilizomaliza na pointi tatu kila moja 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LACAZETTE AIFUNGIA BAO PEKEE ARSENAL YAICHAPA QARABAG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top