• HABARI MPYA

  Sunday, December 09, 2018

  KIKOSI CHA NDOVU MWAKA 1992 MAREHEMU KATUBA, KISAKA NDANI

  Kikosi cha Ndovu FC ya Arusha kabla ya moja ya mechi zake za Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu) Tanzania Bara mwaka 1992 kutoka kulia waliosimama; Mahmoud Omar, John Mngazija (marehemu), Lindimu Muba, Abdallah Suleiman ‘Kaburu’, James Kisaka (marehemu), Joseph Katuba (marehemu), Feruzi Juma, Francis Lungu (marehemu) na Suleiman Mathew.
  Waliopiga magoti kutoka kulia ni Lotti John, Emmanuel ‘Emma’ ’Peter, Rashid Abdallah, Simon Kishoka, Gabriel Mwitika, Mecky Jani na Karim Luhea.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA NDOVU MWAKA 1992 MAREHEMU KATUBA, KISAKA NDANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top