• HABARI MPYA

  Sunday, December 09, 2018

  MESSI AFUNGA MAWILI BARCELONA YASHINDA 4-0 UGENINI LA LIGA

  Lionel Messi akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Barcelona dakika za 17 na 65 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Espanyol usiku wa jana Uwanja wa RCDE mjini Cornella de Llobregat katika mchezo wa La Liga. Mabao mengine yalifungwa na Ousmane Dembele dakika ya 26 na Luis Suarez dakika ya 45 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AFUNGA MAWILI BARCELONA YASHINDA 4-0 UGENINI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top