• HABARI MPYA

    Friday, November 09, 2018

    WELBECK AUMIA, AKIMBIZWA HOSPITALI ARSENAL YABANWA 0-0

    Danny Welbeck akiwa amebewa kwenye machella kutolewa nje kabla ya kukimbizwa hospitali kufuatia kuumia jana Arsenal ikilazimishwa sare ya 0-0 na Sporting Lisbon ya Ureno katika mchezo wa Kundi E Europa League jana Uwanja wa Emirates.
    Welbeck aliumia enka dakika ya 25 tu na akatibiwa kwa dakika tano kabla ya kukimbizwa hospitali 
      
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WELBECK AUMIA, AKIMBIZWA HOSPITALI ARSENAL YABANWA 0-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top