• HABARI MPYA

  Sunday, November 04, 2018

  STERLING AFUNGA MAWILI MAN CITY YAICHAPA SOUTHAMPTON 6-1

  Wachezaji wa Manchester City wakimpongeza Raheem Sterling baada ya kufunga mabao mawili dakika za 45 na ushei na 67 katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Wesley Hoedt aliyejifunga dakika ya sita, Sergio Aguero dakika ya 12 ambalo linakuwa bao lake la 150 Ligi Kuu ya England, David Silva dakika ya 18 na Leroy Sane dakika ya 90 na ushei, wakati la Southampton limefungwa na Danny Ings dakika ya 30 kwa penalti 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: STERLING AFUNGA MAWILI MAN CITY YAICHAPA SOUTHAMPTON 6-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top