• HABARI MPYA

  Friday, November 16, 2018

  SANE AFUNGA BAO LA KWANZA UJERUMANI YAICHAPA URUSI 3-0

  Leroy Sane akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Ujerumani dakika ya nane katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Urusi usiku wa jana kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa Red Bull Arena mjini Leipzig. Mabao mengine ya Ujerumani yalifungwa na Niklas Sule dakika ya 25 na Serge Gnabry dakika ya 40  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SANE AFUNGA BAO LA KWANZA UJERUMANI YAICHAPA URUSI 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top