• HABARI MPYA

  Friday, November 16, 2018

  ROONEY ALIVYOREJEA KUITUMIKIA 'SIMBA WATATU' TENA KWA MARA YA 120

  Mkongwe Wayne Rooney akiwa na wanawe wanne, Cass, Klay, Kai na Kit Uwanja wa Wembley usiku wa jana baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Marekani ambao alirejeshwa kutoka kwenye kustaafu na kuichezea tena Three Lions kwa mara ya mwisho ikishinda 3-0, hiyo ikiwa mechi yake ya 120 kuichezea nchi yake 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ROONEY ALIVYOREJEA KUITUMIKIA 'SIMBA WATATU' TENA KWA MARA YA 120 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top