• HABARI MPYA

    Friday, November 16, 2018

    BATSHUAYI AFUNGA YOTE MAWILI UBELGIJI YAICHAPA ICELAND 2-0

    Michy Batshuayi akishangilia baada ya kuifungia mabao yote mawili Ubelgiji dakika za 65 na 81 ikiilaza 2-0 Iceland katika mchezo wa Kundi la Pili Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussels 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BATSHUAYI AFUNGA YOTE MAWILI UBELGIJI YAICHAPA ICELAND 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top