• HABARI MPYA

  Sunday, November 04, 2018

  RONALDO APEWA TUZO YA MABAO 400 JUVE IKIITANDIKA CAGLIARI 3-1

  Cristiano Ronaldo wa Juventus akionyesha jezi aliyozawadiwa kabla ya mchezo wa Serie A na Cagliari jana Uwanja wa Allianz mjini Torino jana kwa kufikisha mechi 400 za klabu kwenye tano kubwa Ulaya. Juventus ilishinda 3-1, mabao yake yakifungwa na Paulo Dybala dakika ya kwanza, Filip Bradaric aliyejifunga dakika ya 38 na Juan Cuadrado dakika ya 87, wakati la Cagliari lilifungwa na Joao Pedro dakika ya 36 
     
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO APEWA TUZO YA MABAO 400 JUVE IKIITANDIKA CAGLIARI 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top