• HABARI MPYA

  Sunday, November 04, 2018

  LEICESTER CITY WALIVYOMUENZI VICHAI KWA USHINDI WA 1-0 UGENINI

  Demarai Gray akionyesha fulana yake iliyoandikwa 'Asante Vichai' baada ya kuifungia bao pekee Leicester City dakika ya 55 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Cardiff City Uwanja wa Cardiff, Caerdydd usiku wa jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England.
  Hiyo ilikuwa ni ishara ya kumuenzi aliyekuwa mmiliki wa klabu yao, Leicester City, Vichai Srivaddhanaprabha aliyefariki dunia wiki iliyopita baada ya Helikopta yake kuteketea kwa moto akitoka kuangalia mechi dhidi ya West Ham United Oktoba 27 Uwanja wa King Power  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEICESTER CITY WALIVYOMUENZI VICHAI KWA USHINDI WA 1-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top