• HABARI MPYA

  Sunday, November 04, 2018

  REAL MADRID YAICHAPA 2-0 VALLADOLID SANTIAGO BERNABEU LA LIGA

  Vinicius Junior akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya 83 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Valladolid kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu, kabla ya Nahodha Sergio Ramos kufunga la pili kwa penalti dakika ya 88 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAICHAPA 2-0 VALLADOLID SANTIAGO BERNABEU LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top