• HABARI MPYA

  Sunday, November 11, 2018

  PUMZIKA KWA AMANI, METHOD MOGELLA 'FUNDI' HAPA AKIWA NA KOMBE ALILOSHINDA NA SIMBA SC 1990

  Kiungo wa Simba SC, Method Mogella akiwa ameshika Kombe la ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu) ya Tanzania Bara mwaka 1990 akifurahi na wachezaji wenzake baada ya kazi nzuri ya msimu. Method Mogella alihamia Yanga SC mwaka 1992 kabla ya kukutwa na umauti Novemba 10, mwaka 1994 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PUMZIKA KWA AMANI, METHOD MOGELLA 'FUNDI' HAPA AKIWA NA KOMBE ALILOSHINDA NA SIMBA SC 1990 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top