• HABARI MPYA

  Sunday, November 11, 2018

  LEICESTER WAENDELEA KUMLILIA VICHAI WAKITOA SARE 0-0 NA BURNLEY

  Mashabiki wa Leicester City wakilia kwa huzuni wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya England baina ya timu yao na Burnley jana Uwanja wa King Power mjini Leicester, ambao ulimalizika kwa sare ya 0-0 kufuatia msiba wa mmiliki wa klabu yao, Vichai Srivaddhanaprabha wiki mbili zilizopita baada ya Helikopta yake kuteketea kwa moto akitoka kutazama mchezo dhidi ya West Ham United Oktoba 27 uwanjani hapo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEICESTER WAENDELEA KUMLILIA VICHAI WAKITOA SARE 0-0 NA BURNLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top