• HABARI MPYA

  Sunday, November 11, 2018

  REUS APIGA MBILI BORUSSIA DORTMUND YAIPIGA BAYERN 3-2

  Marco Reus akishangilia baada ya kuifungia mabao yote mawili Borussia Dortmund dakika za 49 kwa penalti na 67 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Bayern Munich kwenye mchezo wa Bundesliga usiku wa jana Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund, Ujerumani.
  Bao la tatu lilifungwa na Paco Alcácer dakika ya 73, wakati ya Bayern Munich yote yalifungwa na Robert Lewandowski dakika za 26 na 52  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REUS APIGA MBILI BORUSSIA DORTMUND YAIPIGA BAYERN 3-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top