• HABARI MPYA

  Sunday, November 11, 2018

  MKHITARYAN AINUSURU ARSENAL KUPIGWA NYUMBANI NA WOLVES

  Henrikh Mkhitaryan akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la kusawazisha dakika ya 86 katika sare ya 1-1 na Wolverhampton leo Uwanja wa Emirates kufuatia Ivan Cavaleiro kutangulia kuwafungia Wolves dakika ya 13 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MKHITARYAN AINUSURU ARSENAL KUPIGWA NYUMBANI NA WOLVES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top