• HABARI MPYA

  Sunday, November 11, 2018

  MANCHESTER CITY YAIMIMINIA 3-1 MAN UNITED ETIHAD

  Sergio Aguero akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 48 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na David Silva dakika ya 12 na Ilkay Gundogan dakika ya 86, wakati la Man United limefungwa na Anthony Martial kwa penalti dakika ya 58, baada ya Romelu Lukaku kuangushwa 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANCHESTER CITY YAIMIMINIA 3-1 MAN UNITED ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top