• HABARI MPYA

    Friday, November 09, 2018

    MBWANA SAMATTA ALIVYOPAMBANA JANA GENK IKITOKA SARE 1-1 NA BESIKTAS YA UTURUKI

    Mshambuliaji Mtanzania wa KRC Genk, Mbwana Samatta akiwa juu kupiga kichwa dhidi ya mabeki wa Besiktas ya Uturuki, Mcroatia Domagoj Vida (kulia) na Mreno Pepe (kushoto) katika mchezo wa Kundi I UEFA Europa League Uwanja wa Luminus Arena jana timu hizo zikitoka sare ya 1-1
    Mbwana Samatta akipiga kichwa dhidi ya beki wa Besiktas ya Uturuki, Domagoj Vida (kulia) 
    Mbwana Samatta akimuangukia kipa wa Besiktas, Mturuki Tolga Zengin katika harakati za kusaka mabao jana 
    Tolga Zengin jana akimtolea maneno makali Mbwana Samatta pamoja na kwamba alikuwa anaugulia maumivu chini 
    Mbwana Samatta akipambana kuwnaia mpira wa juu jana Uwanja wa Luminus Arena mjnini Genk 
    Mbwana Samatta akiuelekea mpira baada ya beki Mcroatia wa Besiktas, Domagoj Vida kuanguka chini. Kushoto ni kipa Tolga Zengin 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MBWANA SAMATTA ALIVYOPAMBANA JANA GENK IKITOKA SARE 1-1 NA BESIKTAS YA UTURUKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top