Alexandre Lacazette akinyoosha vidole juu baada ya kuifungia bao la kusawazisha Arsenal dakika ya 82 katika sare ya 1-1 na Liverpool usiku wa jana Uwanja wa Emirates kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England kufuatia James Milner kutangulia kufunga dakika ya 61 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
How many points did Victor Wembanyama score? Spurs vs. Hawks stats
-
Victor Wembanyama led the Spurs in points and rebounds despite coming off
the bench in the victory over the Hawks.
19 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment