• HABARI MPYA

  Sunday, November 04, 2018

  HII YANGA YA KOCHA MWINDA RAMADHANI ILIPUUZWA IKABEBA UBINGWA WA LIGI KUU 1987

  Kikosi cha Yanga SC, mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mwaka 1987 kutoka kulia waliosimama ni Kocha Mkuu, Mwinda Ramadhani, Joseph Fungo, Isihaka Hassan ‘Chukwu’, Celestine Sikinde Mbunga (marehemu), Freddy Felix Minziro, Issa Athumani (marehemu) na Abeid Mziba.
  Waliochuchumaa kutoka kulia ni Yussuf Ismail Bana, Athumani China, Edagr Fongo, Lawrence Mwalusako na Said Mrisho ‘Zico wa Kilosa’. Yanga hii ilidharauliwa kama ya msimu huu, lakini mwishowe wakawa mabingwa mechi zote akidaka kipa Joseph Fungo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HII YANGA YA KOCHA MWINDA RAMADHANI ILIPUUZWA IKABEBA UBINGWA WA LIGI KUU 1987 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top