• HABARI MPYA

  Sunday, November 11, 2018

  BARCELONA 'CHAPACHAPA' CAMP NOU, YAPIGWA 4-3 NA BETIS

  Lionel Messi akisikitika baada ya Barcelona kufungwa 4-3 na Real Betis katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Camo Nou. Mabao ya Real Betis yamefungwa na 20' Junior Firpo dakika ya 20, Joaquin dakika ya 34, Giovani. Lo Celso dakika ya 71 na 83' Canales dakika ya 83, wakati ya Barcelona yamefungwa na Messi mawili, moja kwa penalti dakika ya 68 na lingine dakika ya 90 na ushei na Arturo Vidal dakika ya 79 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA 'CHAPACHAPA' CAMP NOU, YAPIGWA 4-3 NA BETIS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top