• HABARI MPYA

  Friday, November 03, 2017

  UBALOZI WA NORWAY WATOA MILIONI 300 KUDHAMINI TAMASHA LA BUSARA

  Mkurugenzi wa Busara Promotion, Yusuf Mahmoud na Balozi wa Norway nchini Tanzania Bi. Hanne-Marie Kaarstad wakibadilishana hati za udhamini wa tamasha la Sauti za Busara 2018 jana visiwani Zanzibar. Ubalozi wa Norway umetoa Sh. Milioni 300 kudhamini tamasha hilo la kila mwaka

  Mkurugenzi wa Busara Promotion, Yusuf Mahmoud  na Balozi wa Norway nchini Tanzania Bi. Hanne-Marie Kaarstad wakitiliana saini udhamini huo mapema leo Novemba 2, 2017. Wengine wanaoshuhudia ni maafisa kutoka Ubalozi wa Norway na Busara Promotions
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UBALOZI WA NORWAY WATOA MILIONI 300 KUDHAMINI TAMASHA LA BUSARA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top