• HABARI MPYA

    Friday, November 03, 2017

    RIO AKIENDELEA KUJIFUA KWA PAMBANO LA KWANZA LA NDONDI

    Beki wa zamani wa kimataifa wa England na klabu ya Manchester United, Rio Ferdinand akifanya mazoezi ya ngumi chini ya kocha wake, Richie Woodhall katika kambi ya Dubai kujiandaa kuingia kwenye ngumi za kulipwa baada ya kustaafu soka ya ushindani mwaka 2015 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RIO AKIENDELEA KUJIFUA KWA PAMBANO LA KWANZA LA NDONDI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top