• HABARI MPYA

    Monday, November 06, 2017

    REAL MADRID YAWASHINDILIA 3-0 LAS PALMAS LA LIGA

    Cristiano Ronaldo wa Real Madrid akimuacha chini mchezaji wa Las Palmas katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumapili Uwanja wa Santiago Bernabeu. Real ilishinda 3-0, mabao ya Casemiro dakika ya 41, Marco Asensio dakika ya 56 na Isco dakika ya 74 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: REAL MADRID YAWASHINDILIA 3-0 LAS PALMAS LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top