• HABARI MPYA

  Sunday, November 05, 2017

  CHELSEA YAWACHAPA 1-0 MAN UNITED, BAO LA MORATA

  Mshambuliaji wa Chelsea, Mspaniola Alvaro Morata akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee la ushindi dakika ya 55 ikiwalaza Manchester United 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Stamford Bridge, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAWACHAPA 1-0 MAN UNITED, BAO LA MORATA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top