• HABARI MPYA

    Monday, November 06, 2017

    SIMBA NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA SOKOINE

    Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Simba ilishinda 1-0
    Kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima akiondoka na mpira dhidi ya wachezaji wa Mbeya City 
    Kipa wa Mbeya City, Fikirini Bakari akiwa tayari kuokoa mpira unaoelekea kupigwa na John Bocco aliyemuacha chini beki kushoto
    Kiungo wa Mbeya City, Mohammed Samatta (kushoto) akimiliki mpira 
    Kikosi cha Mbeya City kabla ya mchezo wa jana
    Kikosi cha Simba kabla ya mchezo wa jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top