• HABARI MPYA

  Saturday, November 11, 2017

  LUKAKU AFUNGA MABAO MAWILI UBELGIJI YATOA SARE 3-3 NA MEXICO

  Eden Hazard (kulia) akipongezana na Romelu Lukaku usiku wa jana Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussel, baada ya wote kufunga katika sare ya 3-3 na Mexico kwenye mchezo wa kirafiki. Hazard alifunga moja dakika ya 17 na Lukaku akafunga mawili dakika za 55 na 70, wakati mabao ya Mexico yalifungwa na Andres Guardado dakika ya 38 kwa penalti, Hirving Lozano dakika ya 56 na 60 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUKAKU AFUNGA MABAO MAWILI UBELGIJI YATOA SARE 3-3 NA MEXICO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top