• HABARI MPYA

    Saturday, November 11, 2017

    SWEDEN YAIMIMINA 1-0 ITALIA MCHUJO WA KUFUZU KOMBE LA DUNIA

    Jakob Johansson akishangilia baada ya kuifungia Sweden bao peeke la ushindi dakika ya 61 na la kwanza kwake tangu aanze kuichezea timu yake hiyo ya taifa ikiilaza 1-0 Italia usiku wa jana Uwanja wa Friends Arena mjini Solna katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Urusi. Italia watahitaji ushindi wa kuanzia 2-0 kwenye mchezo wa marudiano Uwanja wa San Siro ili kufuzu fainali za Urusi 2018 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SWEDEN YAIMIMINA 1-0 ITALIA MCHUJO WA KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top